Pages

May 13, 2009

"Kisiwa chao ila Maji ni yetu" MU-7

Museveni: Island is Kenya’s, but water is ours
It is now official: Uganda has conceded the controversial Migingo Island is in Kenya. Speaking in Tanzania, Uganda’s President Yoweri Museveni claimed the waters, but said "the island was in Kenya".
Hayo ndo maneno ya Rais Mu - 7 wa UG kuhusu kisiwa cha Migingo. yacheki hapa
Maneno haya yamezua mtafaruku huko Kenya,
Yaweza kuwa ni maneno madogo tu lakini yamebeba maana gani??
Ikiwa kisiwa ni cha Kenya ila maji ndo ya Uganda, Mu-7 anamaanisha nini hapa?
WADAU NAOMBA MAONI YENU.
Kumradhi. Naomba pia kuwataka radhi wadau wa BP kwa kuto-update blog hii kwa kitambo kidogo sasa, hii ina sababu nyingi lakini iko siku nitawajuza wadau wa BP ni kwanini sikufanza hivyo kwa kitambo kidogo, naomba mniwie radhi kwa usumbufu wowote. Bongo Pix

No comments:

Post a Comment