Pages

May 25, 2009

CCM yaibuka kidedea Busanda

Mbunge mpya wa Jimbo la Busanda Lolensia Bukwimba,
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukwimba Dan Mollel ametangaza matokeo rasmi ambapo mgombea wa CCM ameibuka kidedea
matokeo ni kama ifuatavyo:
Waliojiandikisha kupiga kura ni 135,000 na ushee
Waliojitokeza kupiga kura  55,000 na ushee
CCM wamepata kura...............29,242
CHADEMA..................22,000 na ushee..
UDP.......................607
CUF......................... 271. 
HAH HAH HABARI NDO HIYO

1 comment:

  1. Anonymous5:21 PM GMT+3

    Waliojiandikisha kupiga kura ni 135,000 na ushee
    Waliojitokeza kupiga kura 55,000 na ushee
    CCM wamepata kura...............29,242
    CHADEMA..................22,000 na ushee..
    UDP.......................607
    CUF......................... 271.

    TAKWIMU HIZI ZINAMAANISHA NINI KWA DEMOKRASIA NCHINI?

    KATI YA WATU 135, 000 wanajitokeza 55,000 tu yaani zaidi ya asilimia 60 hawakupiga kura??

    Ni elimu ndogo au kuna mushkeri hapa???

    SIPATI PICHA KABISAAAAAA

    ReplyDelete