Pages

April 22, 2009

MREMA ANACHEZA RAFU?

Mgombea uenyekigoda wa TLP Joram Kinanda akiwa na mwenyekiti wa Kamati ya Wanachama wa Kunusuru TLP Macmillan Lymo akiwaonesha orodha ya wajumbe feki 42 kati ya 80 wa NEC ambao walishiriki ktk kikao ambacho pia kilimtimua Mutungirei hivi karibuni. WAH. hawa wanadai kuwa Mrema huwa anachukua wasukuma mikokoteni pale Manzese wakti wowote na kuwaita ni wajumbe wa NEC au mkutano na pia ni kuwa hata katiba anatengeneza yeye mwenyewe.
Ktk uchaguzi huu unaokaribia inadaiwa kaarika wajumbe 163 tu kati ya 1200 wa mkutano mkuu na kuandaa morani wapatao 300 kudhibiti atakaye taka kujipeleka huko mkutanoni pasi kuitwa.
Habari ndo hiyo

No comments:

Post a Comment