Mwaka 2007 hukoKibiti Mkoa wa Pwani wakenya watatu JOHN NGUGI NJEGE, SAMWEL WAWERU NDUNGU NA JOHN KARANJA KAMAU walikamatwa wakiwauzia wabongo matoy ya kamela, walifunguliwa mashtaka na kuhukumiwa miaka saba jela wakiwa hawapo baada ya kuruka dhamana.
Walikuwa wakitumia ujanja wa kuwauzia wakazi wa huko box ya Panadol na plasta kwa gharama ya Shs 80, 000/- na kisha kujifanya wanakupa na zawadi ya kamela hii feki.
Wabongooo, tunalishwa feki feki feki mpaka mwishowe hata wabongo tutakuwa feki
ReplyDelete