Pages

April 29, 2009

Manji amdai MENGI fidia ya Sh MOJA.

MFANYABIASHARA maarufu Yusuf Manji amefungua kesi ya aina yake dhidi ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akimtaka amlipe Sh Moja kama fidia kwa kumkashifu kumwita yeye ni miongoni mwa mafisaidi Papa.
Manji amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kupitia kwa kampuni ya uwakili ya Muganda, Kamugisha na Bwana, akiomba alipwe kiasi hicho cha fedha au kiasi kingine ambacho kitatamkwa na mahakama kutokana na kumwita fisadi papa.

No comments:

Post a Comment