Pages

April 29, 2009

MABOOOM - Tunapodhani kila kitu DILI

Kamishina wa Polisi Paul Chagonja akitoa maelezo kwa waandishi kuhusiana na Mabomu "yanayoendelea" kulipuka huko ktk ghala la siraha la JWTZ Mbagala Kizuiani ambapo watu wapatao wanne wanasadikiwa kufa hadi twaenda mitamboni, Wakazi wa huko wametakiwa kutorejea kwanza makwao kwa hofu kuwa bado mabomu zaidi uenda yakalipuka.
Wakti hayo yakiendelea vijana hawa walikamatwa maeneo hayo wakijisevia makasha haya kwa kudhani ni kuwa ni DILI kwao na hasa ikizingatiwa biashara ya vyuma chakavu ilivyoshamili hapa Bongo.
Mhh hatari kwelikweli.

No comments:

Post a Comment