Pages

April 28, 2009

Lipumba - "Mengi anajipendekeza kwa JK"

Tangu Mwenyekigoda atamke hadharani au aamue kuliita jembe ni jembe kwa kutaja majina ya anaowaita"Mafisadi MAPAPA" watu mbali mbali wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusiana na hatua hiyo ya Bw. RM.
Leo hi Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi kutaja wafanyabiashara na viongozi watano wenye asili ya kiasia kuwa ndio mafisadi papa na kumsifia Rais Jakaya Kikwete, ni ubaguzi na kujipendekeza kwa Rais.
Mwanasiasa huyo alisema kauli hiyo ya Mengi, haisadii katika vita dhidi ya rushwa, badala yake anacheza karata ya ubaguzi wa rangi wakati tatizo la ufisadi limetokana na mfumo wa kutokuwa wawazi kwenye uamuzi. pata zaidi

No comments:

Post a Comment