Rais JK akiwa na mwenyeji wake rais wa Botswana Luteni Generali Seretse Khama Ian Khama wakiwa chini ya mti ambao hutumika na wazee wa jadi wa botswana kwa ajili ya kupanga na kutoa maamuzi mballimbali katika jamii yao ijulikanayo kama Kgotla (bunge), na msosi maalumu wa nyama ya kuponda ya asili iitwayo Setswa, ambayo hupikwa na kuliwa na wanaume pekee.(aliyekaa kulia kwa rais ni kgosi au chifu tawana moremi na aliyekaa kushoto kwa jenerali khama ni naibu waziri wa botswana mhesh. G. Matlahabaphiri.)
No comments:
Post a Comment