Pages

April 5, 2009

Ijue Kiguza Village Hotel.

Hii ndo Kiguza Village Hotel iliyoko Mkuranga Mkoa wa Pwani, kitu kimetulia si mchezo, kuna huduma za Mikutano ukumbi wa watu ka hamsa na ukumbi mkubwa wa sherehe, pia vyumba vyenye hadhi pamoja na misosi chekwaa.

No comments:

Post a Comment