Pages

April 8, 2009

DECI

Hii ni DECI au Desimali? Je nnani mkweli ktk hili kati ya BOT, Soko la Mitaji CMSA, VIONGOZI wa DECI na wanaodai ni WANUFAIKA? Lakini zaidi ni nani antuongopea (anawaongopea) au hatwambii ukweli hapa?

2 comments:

  1. Umenifurahisha kwa swali lako eti ni Deci au Desimali. Unajua desimali ni alama ya ajabu. Ukiiweka upande wa kulia haina neno lakini ukianza kuiweka upande wa kushoto inaweza kugeuza bilioni moja na kuwa "vijisenti" tu. Soma riwaya ya nzuri ya Siri ya Sifuri utaona. Swali lako hili limenivutia sana ingawa sijui kwa undani hili sakata la DECI...Mimi ni mdau mzuri sana wa blogu yako na asante kwa kazi nzuri.

    ReplyDelete
  2. Mkuu, umenifurahisha sana kwa swali lako la Deci na Desimali. Desimali ni alama ya ajabu na inategemea na wapi unapoiweka. Ukiiweka kulia kwa namba basi haina neno lakini ukiiweka upande wa kushoto inaweza kugeuza mabilioni na kuwa "vijisenti' tu. Soma Riwaya nzuri iitwayo Siri ya Sifuri utaona. Sijui kwa undani hili sakata la DECI lakini nimekunwa na swali lako hilo chokonozi. Mimi ni mdau mkubwa wa blogu hii na asante sana kwa kutujuvya mambo ya Bongo. Endeleza libeneke!

    ReplyDelete