Pages

March 13, 2009

Vicky -nani anawauawa hawa ndugu zetu??

Nani anawaua watu wenye ulemavu wa ngozi au albino nchini Tanzania? Kwa nini jamii hii inawindwa na kuuawa kikatili? Na je hatua gani zinachukuliwa kukomeshwa na kuwalinda? maswali haya ndo yanamgonga Dada Vicky Ntetema, mtembelee katika blog yake
ili tusaidiane ktk kutafuta majibu ya maswali haya na zaidi ambayo nadhani wengi wetu yanatuumiza vichwa.

No comments:

Post a Comment