Mwandishi na mtangazaji wa ITV/Radio One Rehema Mwakangale (kulia) ametutoka leo asubuhi katika hospital ya Mikocheni alikokuwa amelazwa. Kwa Mujibu wa taarifa kupitia Radio One, mipango ya mazishi itakuwa kwa bibi yake Sinza karibu na Deluxe bar.
Mola ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA
No comments:
Post a Comment