Pages

March 4, 2009

Land Forces Comand yazinduliwa

Kamandi ya Majeshi ya Majeshi ya Nchi Kavu- Land Forces Command imezinduliwa leo huko Msigani Kibaha na Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Hii inafanya kuwa na Kamandi tatu za jeshi letu zinazozitegemea, yaani Jeshi la Anga, Maji na Nchi kavu ambalo hapo ndo patakuwa makao makuu yake.
Wadau si kwamba ndo leo laanzishwa la hasha, bali halikuwa na kambi yake lenyewe shughri zote zilikuwa zikifanyika makao makuu ya jeshi, lakini sasa makao makuu yamebaki na shughuri za kiuongozi na kiutawala.

No comments:

Post a Comment