RAIS WA GUINEA BISAU AUWAWA! The president of Guinea-Bissau was assassinated Monday, a day after a powerful explosion killed the head of the west African country's military, the prime minister said. more
Rais Joao Bernardo Vieira, 69, anauwawa siku moja tu baada ya kuuawa kwa mlipuko Mkuu wa majeshi wa nchi hiyo, kulingana na waziri mkuu wa nchi hiyo haijajulikana Rais ameuwawa vipi??
Je ni mwanzo wa machafuko, vita vingine AFRICA????
No comments:
Post a Comment