Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimjulia khali Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Abbas Kandoro ambaye amerejea nchini hivi karibuni akitokea India kwa matibabu,
Ni majuzi tu tulikuwa twaulizana na wadau wenzangu ktk sherehe za wanawake duniani kuwa Mh RC wetu yu wapi maana umepita muda kitambo pasi kumwona, kumbe alikuwa matibabu India. Pole sana Mh Kandoro.
Hata nami nilikuwa najiuliza swali hilo. Kuna matukio mengi yamekuwa yakitokea katika Jiji la Dar na nilikuwa nashangaa kuona Mkuu wa Kaya yuko kimya.
ReplyDeleteNamtakia apate nafuu mapema ili arudi kushughulikia masuala ya wananchi.
Mdau