United Nation staff hold their hands during a peaceful protest at their headquarters in Gigiri on 3rd March 2009. The employees were protesting the replacement of Anna Tibaijuka as the Director General of the United Nations office in Nairobi. Her demotion has strained relations between Kenya and Tanzania.Kuondolewa au kushushwa madaraka kwa Mama yetu Prof Tibaijuka kumbe ni mizengweya kamchezo kachafu ka majirani na watani zetu NYANG'AUS???Yote hayo yakohapaWADAU MWASEMAJE??
Secretary General wa UN ana utashi wa kubadlisha viongozi kadri anavyoona inafaa. Hakuna haja ya kulalamika....maji yakishamwagika hayazoleki. Cha maana ni kuangalia mbele.
Cha ajabu nini? Lazima kuna upungufu wa kiutendaji upande mwake huyu mama. Kwa mfano aliajiri zaidi watu wa kabila lake yaani Wahaya ambao hata qualifications walikuwa hawana. hili ni tatizo sugu UN kwani hata Kofi Anan aliwaleta waghana wengi ndani ya system. Je, UN ingevumilia haya hadi lini??
Secretary General wa UN ana utashi wa kubadlisha viongozi kadri anavyoona inafaa. Hakuna haja ya kulalamika....maji yakishamwagika hayazoleki. Cha maana ni kuangalia mbele.
ReplyDeleteCha ajabu nini? Lazima kuna upungufu wa kiutendaji upande mwake huyu mama. Kwa mfano aliajiri zaidi watu wa kabila lake yaani Wahaya ambao hata qualifications walikuwa hawana. hili ni tatizo sugu UN kwani hata Kofi Anan aliwaleta waghana wengi ndani ya system. Je, UN ingevumilia haya hadi lini??
ReplyDelete