Pages

March 19, 2009

JK arejea toka UK

Rais JK amerejea leo mchana toka ktk kikao cha maandalizi ya Mkutano wa G 20 unaotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa Nne huko UK.

1 comment:

  1. Anonymous4:48 PM GMT+3

    Bongo kweli watu hawana vya kufanya, na upeanaji vyeo bila sifa za uhakika zinawafanya viongozi wawe wanafiki na kujikomba komba tu kila wakati

    Kikwete wakati anaondoka kwenda UK viongozi hadi makamu wa rais walikwenda kumsindikiza...karidi unaona waziri mkuu, IGP, KOva, mwamunyange, mawaziri wote eti kumpokea rais, hahahahaha upuuzi..kaeni ofisini mfanye kazi za kiofisi wandugu.

    Hivi Obama akiwa anaenda sehemu lazima aagwa na Biden, Hilary Clinton, nk??Kila mtu ana majukumu yake.Itafika kipindi hata mkuu wa shule akitaka kwenda safari walimu wote wakamuage na kumpokea sasa, huo ndio mwanzo wa umasikini

    ReplyDelete