Pages

March 9, 2009

IMF DG IN BONGO

Dogo nipunguzie bana, nakupa buku tano nipe chenji yangu fasta.. He nipe chenji yangu usawa mbaya huu dogo,
Mkurugenzi Mkuu wa IMF Dominique Strauss-Kahn ambaye yuko nchini kwa mkutano wa Africa na IMF wa CHANGES unaoanza kesho Bongo ktk ukumbi mpya BOT, Leo hii ametembelea sehemu kadhaa za jiji zikiwemo Manzese ambako amefanya sagula sagula, Hospitali ya walemavu ya CCBRT ambako ametoa Dola 5,000 na Chuo kikuu alikopambana na maswali toka kwa wasomi kuhusu mtikisiko wa uchumi duniani na sera za IMF kwa nchi masikini.

No comments:

Post a Comment