Pages

February 9, 2009

WASICHANA WATESA KIDATO CHA NNE

WANAFUNZI TANO BORA WA KIDATO CHA NNE WAMETOKA KTK SHULE YA MARIAN ILIYOKO BAGAMOYO.
Mwanzilishi wa shule ya St Marian na Meneja Father Valentine Bayo, anasikitika kwa wanafunzi wake sita kufeli kwa kupata Div II kati ya 82 ambapo 76 wote wamepata Div 1.
Mkuu wa Shule Ms Flora Inju,
Wanafunzi wakiwa Darasani,
Shule za Sekondari za wasichana zimeendelea kutesa ktk matokeo ya kidato cha nne ambapo St Fransis ikishika namba moja na St Marian namba mbili.

No comments:

Post a Comment