Baada ya DCI na jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaa walivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwamba ni vinasa sauti vya kisasa swali kuu sasa ni kwanini CHUMBANI TENA KITANDANI?
hawa waheshimiwa wanamaofisi bila shaka, wana simu, wana magari N.K lakini yeyote aliyelenga au kuchagua kuweka vinasa sauti chumbani tena kitandani alikuwa anataka nini?????
Sote twafahamu (hasa watu wazima) ni nini huwa kinaendelea chumbani na hasa baada ya kuzima taa, Je waalifu hawa ndo walichokuwa wakitafuta????????? au waliambiwa kuwa hawa WAHESHIMIWA huwa wana vikao vyumbani????????? sielewi, sijui, naomba kueleweshwa wadau.
Kwa mwelekeo wa siasa zetu "mpya" zinazoangalia mambo binafsi zaidi, jambo hili si la kushangaza. watu wamesahau mambo yanayohusu wananchi na kujikita zaidi kwenye mambo yanayotokea kati kati ya shuka.
ReplyDeleteYote haya ni sehemu ya harakati za kujiweka sawa na uchaguzi ujao na kujaribu kuwachafua mahasimu wao.
Faustine
Kazi ipo na nawasiwasi tunakokwenda kutazidi kuwa pabaya.
ReplyDeleteThis is to bad! Shame to those involved in
ReplyDeleteHako ni kale kamchezo ka kumvizia mbaya wako alokushinda nguvu na kumshika naniii zake na kuzibinya ili akuachie, teh! teh! teh!!!
ReplyDeleteNasikia harufu ya mchezo mchafu hapa, wanasiasa si wakuaminika saaana nadhani kuna mtu anatafuta umaarufu kama sikosei tusubiri tuone, maaana naona mambo yanajichanganya kidogo.
ReplyDelete