Pages

February 2, 2009

GTV muflisi!! Who's next????????

Wateja wa GTV wakilalama nje ya ofisi hizo pasi na jibu lolote la maana, kulingana na mlizi wa KK anayelinda hapo ni kuwa siku ya Jumamosi ilipigwa simu toka majuu zilipo ofisi zao kwenda kwa bosi wa hapa kwamba wanatakiwa kufunga ofisi ndani ya dakika kumi na kila mtu atoke nje kwani kampuni imefilisika.
Hili ni tangazo lililopo katika website yao.

No comments:

Post a Comment