Pages

February 8, 2009

Dar taka kila kona.

NADHANI HILI NDILO JIJI PEKEE DUNIANI AMBAPO WATU WAKO HURU KUTUPA/KUWEKA TAKA MAHALI POPOTE NA HASIKUBUGUDHI MTU YEYOTE, YAANI ATA UKIJISIKIA KUACHIA ZIGO POPOTE PALE AHAA!! RUKSA TU.

1 comment:

  1. Anonymous2:29 PM GMT+3

    Sio ukweli bwana kwamba Dar ndio jiji pekee,Wewe unaandika umeenda majiji mangapi?Na hayo uliokwenda unatembelea sehemu zote au unapita mitaa fulani unayoona misafi tu?hali kama hiyo ipo majiji makubwa duniani uchafu sehemu usizotegemea.Amsterdam kuna mitaa michafu,Berlin pia na uchafu unatupwa kama kawa,Hata Barcelona nje ya uwanja wa barca(Camp Nou)upande wa nyuma kuna rundo la uchafu.

    ReplyDelete