Mbunge wa Simanjiro Christopher ole Sendeka (katikati) akiwa na baadhi ya washabiki wake waliojitokeza kotini akiwapungia mkono wananchi waliofurika nje ya ukumbi wa mahakama wakati mara baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kumshambulia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Arusha James ole Milya jana katika mahakama ya hakimu mkazi mjini Arusha leo, kesi itatajwa tena tarehe 10, february 2009.
No comments:
Post a Comment