Behind the curtain.
" Du siamini kama ni kweli ndo naenda kuchukua linchi, kiroho kinandunda kweli, yaani hawa jamaaaa wamekubari kweli au watanchenjia huko nje............"
"Enhe!! ebu tujaribu kwanza, we utanshikia hivi afu mi nitamwaga sera mama.."
"Wacha niweke mambo sawa,mhh! aka katai mbona ka kamanzese vile? au jamaa wamenibambika nini? ahha potelea mbali nani atajua bwana.
No comments:
Post a Comment