Pages

January 18, 2009

KUMEKUCHA UDSM KESHO.

Makamu Mkuu wa Chuo Prof Mukandala na Naibu wake Maboko wakikagua ujenzi wa maturubai ya kufanyia usajiri nje ya geti la upande wa Ubungo Maji kwa wanafunzi watakaorudi hapo kesho kuendelea na masomo.
UDSM kufunguliwa tena hapo kesho, ulinzi mkali umewekwa na ambapo kila mwanafunzi atatakiwa kuregista katika maturubahi haya yaliyojengwa nje ya geti la upande wa Ubungo, na kila atakayeingia atatakiwa kuninginiza kitambulisho chake shingoni.

No comments:

Post a Comment