Pages

January 7, 2009

"HASISIKIE MTU UPUMBAVU WAKO"

Kuna mdau kantumia hii, nathani ushauri watufaa wengi wetu tunaodhani kila tufunguapo vinywa vyetu twatoa busara na twaeleweka na watu hata kama ni complains tu kila wakati, ni vyema tukachukua ushauri huu na kuufanyia kazi kwani ni kibiblia kabisa pale ktk Mithali isemapo "hata mpumbavu uhesabiwa hekima akikaa kimya, naamu huseabiwa busara asipofungua kinywa chake". TUUFUATE

1 comment: