December 2, 2008

Hatimaye masharti yatimizwa.

Hatimaye Wah. Mawaziri wa zamani wakamilisha masharti ya dhamana na sasa wako nje baaday ya kukaa rumande kwa takriban wiki nzima hadi kesi itakapotajwa tena January mwakani.

3 comments:

Anonymous said...

Hii ya kuwaburuza hawa wahesh...no wez...no wazee au watu wenye nyazifa bongo tumeanza lini?
si ni kawaida yetu wezi kama ni wa suti tunawaachiaga au tunawapa nyazifa zingine tu au hata kuwatupa ubalozini? hizi si ndo adhabu zetu bongo? sasa hii yatoka wapi ni utamaduni mpya au usaniii?

jibu pliizi.

Anonymous said...

JAMAAA WAMEKAA MUDA MFUPI SANA HAWA HAWAKULA MAJANI KISAWASAWA HAWA.

Anonymous said...

Wabongo hawa jamaaa wamepata wapi mali za thamani yote hii wakti walikuwa ni watumishi wa umma tu? na kipato cha mtumishi mbona kiko wazi tu?

tuseme wamefanya kazi kwa kipindi chote toka uhuru hata sasa na walikuwa labda wanalipwa milioni kwa mwezi, je wanaweza kulimbikiza mali za kufikisha billion 3 mtu mmoja?

TRA mmko wapi? dili lingine hilo hebu chunguzeni vitabu vya hawa jamaa na kuona kama walikuwa wanalipa kodi au la? hasa Daniel Yona, kama sivyo kesi juu ya kesi wanamaliza hii inaanza ya kukwepa kulipa kodi ambapo huku Uchina na baadhi ya nchi adhabu yake ni kifo tu.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...