Pages

November 19, 2008

WOSIA WA BURE KWA WATUMISHI WA UMA.

Mfanyabiashara maarufu aliyepata kuwa Mkurugenzi, Mwenyekiti, Rais, nk wa mashirika na asasi mbalimbali Anald Kileo amewaasa watumishi wa umma kuandaa mazingira bora na safi na raini ya kuelekea kwenye sekta binafsi mara ajira zao zinapofikia ukomo ili watue uko huku wakikimbia kwani ndio kimbilio mara baada ya ajira ya umma. Wosia huu ilitokana na mada ya rais wa zamani wa TCCIA Elvis Musiba kuwa ukiritimba uriokithiri kwa watumishi wa serikali ni kiwazo kikubwa sana ktk sekta bibafsi kufanya biashara na kuwa utakapo kuanzisha biashara leo basi anza angalau miaka mitatu kabla kufatilia serikalini.

No comments:

Post a Comment