Pages

November 9, 2008

NEC YA CCM YAENDELEA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyekiti wa wazee mkoa wa Dodoma Mzee Omar Sulieman mwenye umri wa miaka 102 wakati wazee wa mkoa huo walipokutana naye ikulu ndogo mjini Dodoma na kumpongeza kwa utendaji kazi wake mahiri leo asubuhi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SHIVACOM GROUP iliyodhamini utengenezajia wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ndugu TANIL SOMAIYA, akimkabidhi baazi ya vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 400 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete Makamo Makuu ya CCM Dodoma Leo.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kikao cha Halmashauri kuu ya CCM kinachoendelea leo katika ukumbi wa Halmashauri kuu ya CCM Makao Makuu Mjini Dodoma. kushoto katibu Mkuu wa CCM Yussuf Makamba.

No comments:

Post a Comment