Pages

November 15, 2008

Msaada tutani ktk Bongo pix

Habari ya kazi mkubwa wa Bongopix, Sisi hapa ni Dullonet ni wanamtandao wenzako katika ulimwengu huu wa mawasiliano.

Kutoka Dullonet tunatuma ombi letu kwako kwa kuomba kupewa links katika blog yako ili nasi tuweze kufahamikazaidi na kupata wasomaji wa Website yetu ya www.dullonet.com ambao tunajihusisha na mambo ya habari mchanganyiko na kutoka vyombo mbalimbali duniani.

Zaidi tunategemea kusikia toka kwako mwanamtandao wenzetu na pia tunatanguliza shukrani kwako kwa kuchukua muda kusoma email hii.

Dullonet Team.

BP Haina noma na hilo karibuni sana.

1 comment: