Pages

November 24, 2008

IFM WAGOMEA MITIHANI

Wanafunzi wa Chuo cha usimamizi wa ngawila IFM leo hii wamegomea mitihani ilokuwa ianze leo kwa madai kuwa ratiba imebadilishwa ghafla mno na hakukuwa na muda wa kutosha kujiandaa. kulingana na baadhi ya wanafunzi ni kuwa ratiba za mitihani chuoni hapo huwa ni siku za jumamosi kwa mtihani mmoja mmoja lakini siku ya Ijumaa chuo kilitoa ratiba ya mitihani mitatu mitatu kuanzia leo hii kwa wanafunzi wa miaka yote
.
Mhh Kasheshe hiyo...

No comments:

Post a Comment