Alidai kuwa mgodi huo ulinunuliwa na mwekezaji kwa Dola za Marekani milioni 20, lakini mwekezaji akauuza kwa Dola za Marekani milioni 348 huku serikali ya Tanzania ikiambulia patupu.Kuhusu mgodi wa Buhemba, alitaka uchunguzi wa ufanyike kwani mwekezaji aliyekuwa akiumiliki ameondoka katika mazingira yasiyojulikana tena bila ya kuwalipa wafanyakazi haki zao na kukiuka makubaliano mengi ya mkataba na baadaye kuuza kinyemela mgodi huo kwa kampuni ya Maremeta.
Pages
▼
October 30, 2008
UKISTAAJABU YA MUSA.........................................
AMA KWELI UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI,
Akitoa maoni yake kuhusu hoja hiyo, Zitto ambaye alikuwa mjumbe wa Kamati ya Rais, alisema anaunga mkono pendekezo hilo la Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini la kutaka ufanyike uchunguzi huo, akieleza kuwa uuzwaji wa Buhemba unatia shaka kwani umeikosesha serikali fedha nyingi.
No comments:
Post a Comment