Nachelea na kweli nisingependa kudhani au kuwaza au hata kufikili kuwa yanayoendelea hapa Bongo siku hizi yaweza kuwa sawa na msemo huu wa Kibiblia kwa wale nilowaacha basi waende ktk kitabu cha Daniel 5:1-31.yajulikana sana kama THE WRITING ON THE WALL.
5In the same hour came forth fingers of a man's hand, and wrote over
against the candlestick upon the plaister of the wall of the king's palace: and the king saw the part of the hand that wrote.
Ndugu yangu hiyo ni kweli maana mbali ya migomo isiyokwisha ya wafanyakazi wa kada zote hadi wanafunzi na mbaya zaidi ni huu wa walimu kwa kwelei ni mbaya kuliko yote kwani madhala yake baadaye kielimu na kitaifa ni mabaya sana.
MH aache kukaa kimya na kujifanya haoni inabidi afanye maamuzi japo kuwa hata kukaa kimya nayo ni maamuzi pia au staili ya kutawala lakini tafsiri yake ni mbaya kwani kila mtu anakuwa na ya kwake.
Mbali ya maandamano hayo kuulizwa maswali magumu na wanaodhani ni wavijijini au hawajui kitu juu EPA, RICHMOND NK na hata kufika kupokewa na mabango juu ya mambo hayo na hata kufika kuzomewa na hatimaye misafara kupopolewa na mawe si dalili njema hata kidogo.
Iwapo patatokea mtaalamu mmoja na kuwaunganisha waandamanaji (wanafunzi kwa walimu, wafanyakazi kwa wastaafu na hatimaye jeshi kubwa la vijana wasionakazi na ambao kila uchao hawana hakika ya maisha yao na wagomaji na wadai wa EAC ambao jana walifanya kufuru hata kufika kuvua nguo na kuwaunganisha kwa pamoja na kuwa kitu kimoja na kufanya jambo moja kubwa nchi hii itakuwa balaa, tuombe MUNGU tusifike huko kwani hakuna nguvu yoyote ya dola iwezayo kuzuia nguvu ya umma ulioamua au kukataa tamaa na kusema liwalo na liwe kwa yakini hakuna dola hiyo popote duniani ya kuweza kuwazuia hao.
hivyo ni bora kabla hapajatokea hayo viongozi wetu wakajifunza wakasoma alama za nyakati au "maandishi ukutani" kama ulivyobashiri BP na kuamua kutoa pamba masikioni na kusikia kilio cha umma huu wa watanzania mapema sana kunyamaza hakutamsaidia sana MH wetu.
Ndugu yangu hiyo ni kweli maana mbali ya migomo isiyokwisha ya wafanyakazi wa kada zote hadi wanafunzi na mbaya zaidi ni huu wa walimu kwa kwelei ni mbaya kuliko yote kwani madhala yake baadaye kielimu na kitaifa ni mabaya sana.
ReplyDeleteMH aache kukaa kimya na kujifanya haoni inabidi afanye maamuzi japo kuwa hata kukaa kimya nayo ni maamuzi pia au staili ya kutawala lakini tafsiri yake ni mbaya kwani kila mtu anakuwa na ya kwake.
Mbali ya maandamano hayo kuulizwa maswali magumu na wanaodhani ni wavijijini au hawajui kitu juu EPA, RICHMOND NK na hata kufika kupokewa na mabango juu ya mambo hayo na hata kufika kuzomewa na hatimaye misafara kupopolewa na mawe si dalili njema hata kidogo.
Iwapo patatokea mtaalamu mmoja na kuwaunganisha waandamanaji (wanafunzi kwa walimu, wafanyakazi kwa wastaafu na hatimaye jeshi kubwa la vijana wasionakazi na ambao kila uchao hawana hakika ya maisha yao na wagomaji na wadai wa EAC ambao jana walifanya kufuru hata kufika kuvua nguo na kuwaunganisha kwa pamoja na kuwa kitu kimoja na kufanya jambo moja kubwa nchi hii itakuwa balaa, tuombe MUNGU tusifike huko kwani hakuna nguvu yoyote ya dola iwezayo kuzuia nguvu ya umma ulioamua au kukataa tamaa na kusema liwalo na liwe kwa yakini hakuna dola hiyo popote duniani ya kuweza kuwazuia hao.
hivyo ni bora kabla hapajatokea hayo viongozi wetu wakajifunza wakasoma alama za nyakati au "maandishi ukutani" kama ulivyobashiri BP na kuamua kutoa pamba masikioni na kusikia kilio cha umma huu wa watanzania mapema sana kunyamaza hakutamsaidia sana MH wetu.
CHONDE CHONDE MJOMBA SIKIA KILIO CHA WATU WAKO.
MHHH! LETS WAIT AND SEE
ReplyDelete