
Watoto toka maeneo karibu na aepoti warijaribu kwenda kuosha macho hata hivyo walitolewa nje na wahusika ati wanapotea sana waiingia hapo njia panda ya ulaya!!!!!1

.......wa Manzese na maeneo karibu yake walijimwaga Darajani wakabalizi kwani hawana pengine pa kwenda maana viwanja stahiki kwao vimeuzwa.......

........coco ilikuwa baraha maana umati si wa kawa.
No comments:
Post a Comment