Pages

September 19, 2008

Pole "Kamanda"

Rais JK jana alienda kumfariji na kumjulia hali Mpiganaji Kamamda Athuman ambaye alipata ajari ya gari yapata wiki sasa, alimtakia apone haraka na kuwa ataangalia na kufanya kila linalowezekana ili apate matibabu stahiki, pamoja naye ni Mchumba Miriam Kinunda aliyefunga safari toka USA kuja uguza. Kamanda Athuman blog hii na wadau kwa ujumla twakuombea kwa MWENYEZI MUNGU ambaye kwake YOTE YAWEZEKANA upone haraka na hatimaye urudi mstari wa mbele ktk mapambano.

No comments:

Post a Comment