WAKATI WATEJA WAKIKUTANA NA BANGO LA KUOMBA MSAMAHA LISILO NA TAREHE YA LINI LIMEWEKWA AU TATIZO HILI LITAKWISHA LINI,
WAFANYAKAZI WAMEENDELEA KUKUTANA KTK UKUMBI WA MSIMBAZI CENTRE WAKISUBIRI KUITWA ILI KUTIA SAINI MAKUBALIANO,
PIA VIONGOZI WA TUICO AMBAO NDIO WALIORATIBU MGOMO HUU LEO HII WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ZAIDI TUTAWAJULISHA KADIRI TUNAVYOZIPATA.
MAHAKAMA KUU KITENGO CHA KAZI KIMETENGUA MGOMO UNAOENDELEA WA NMB NA KUAMURU WAFANYAKAZI WOOTE KURUDI KAZI MARA MOJA, HII NDO MPYA
No comments:
Post a Comment