
Dunia nzima imeshuhudia mkitia saini na kukubaliana kufanya kazi pamoja kwa lengo la kuijenga zimbabwe njema ya baadaye,
Japokuwa yemeshakuwa ivyo twasema yalopita si ndwele tugange yajayo lakini hatunabudi kujiuliza,
Je huu ni utaratibu sahihi? na hasa kwa waafrika maana twaona mara ya pili watawala wanavulunda uchaguzi kisha wanakaa kujadili na hatimaye kufikia hapo.
Je huu hautakuwa ugonjwa wa bara hili laAfrika? na kama sio ni nini kifanyike kuondokana na kadhia hii?
Nawasilisha wadau.
No comments:
Post a Comment