Pages

August 1, 2008

KASHESHE NAULI MPYA KWA DENTS

WANAFUNZI TOKA SHULE MBALIMBALI WAMEANDAMANA LEO HADI OFISI ZA MKUU WA MKOA DSM KUPINGA KUPANDISHWA KWA NAULI MPYA AMBAYO IMEANZA RASMI LEO HII. SAMBAMBA NA WANAJESHI NA POLISI WOTE KUTAKIWA KUANZA RASMI KULIPA NAULI KTK DALADALA IKIWA WAMEVAA SARE AU LA.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment