Wakati Mkuu wa Bongo Rais JK anatarajiwa kulihutubia bungemfupi ujao kwa mara ya pili toka kuingia madarakani yapata miaka mitatu iliyopita muda mengi yamekuwa yakiisiwa au kuzungumzwa kwamba uenda akayagusia katika hotuba yake hiyo muhimu kwa taifa letu.
mengi yametokea na mengi yanaendelea kutokea toka kulihutubia bunge hilo December mwaka 2005, nadhani si vyema nikarudia hapa kuorodhesha yote yaliyo jili hapa bongo kwa kipindi kifupi hicho lakini yakiwa ni makubwa na muhimu kwa mustakbali wa taifa letu hili changa.
tusubiri tusikie kile ambacho mkuu wa nchi ataka kuwaambia wanachi kupitia kwa wabunge wao.
No comments:
Post a Comment