Pages

August 21, 2008

Hotuba ya JK

Rais ametoa hotuba kwa takribani masaa matatu na ushee hivi, kaongea mengi sana,
  • kuhusu EPA, ni shs bilion 53 tu ndo zimerudishwa. Watuhumiwa pamoja na kurudisha pesa wameporwa hati zao za kusafiria na kuwa zitataifishwa mali zao zote pamoja na magari yao ya kifahari waliokuwa wakitanulia nayo mitaani, na kuwa kikomo cha kurejesha pesa hizo ni Oktoba 31 wale watakao kuwa hawajarejesha kukiona cha moto
  • . pia pesa hizo kakiri kuwa hazikuwa za serikali na kuwa ni za wafanyabiashara wa nje na kuwa sasa zitaelekezwa kwenye kilimo lengo likiwa kuanzisha benki ya kilimo kwa mabenki wanasema kuwa kilimo hakikopesheki.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment