Pages

August 9, 2008

UBUNIFU

PICHA HII YAWEZA ONEKANA YA KAWAIDA SANA NA HATA UKIWAPA WASANIFU KURASA WETU AU WATENGENEZA KURASA (PAGE MAKERS) KWA KUTOELEWA LENGO LA MPIGAJI WATAISHIA KUIKROPU NA PENGINE KUNAKIZA BENGERA TU, NA HATA MSOMAJI AIONAPO GAZETINI HATOELEWA VILE ILIKUWA KWANZA.
LAKINI HEBU ANGALIA NI JINSI GANI YAPENDEZA VILE ILIVYO?
NI PICHA NYINGI SANA ZAARIBIWA NA WATENGENEZA KURASA KWA KUDHANI WANATENGENEZA AU WANABORESHA, AU KWA KUFIKIRI KUWA MPIGA PICHA KAKOSEA, UKWELI NI KUWA MPIGA PICHA (KWA MAANA YA PROFESSIONAL) KILA KITU ANACHOKIWEKA KTK PICHA AU KOMPOZI UWA AMEKIDHAMILIA.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment