Pages

July 31, 2008

WANGWE - MAZISHI YAHAIRISHWA

MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA TARIME CHACHA WANGWE YAMEHAIRISHWA KUSUBIRI UCHUNGUZI WA MAITI, KAKA YAKE MAREHEMU PROF SAMWEL WANGWE AMENUKULIWA AKISEMA KUWA NDUGU WAMEFIKIA UAMUZI WA KUTOZIKA MWILI HUO KUTOKANA NA UTATA WA JINSI AJARI HIYO ILIVYOTOKEA, MAELEZO YA ALIYEKUWA NA MAREHEMU BW DEUS MALLYA PAMOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI VILIVYO NUKUU SHUHUDA WA KWANZA WA AJILI HIYO ENEO LA PANDAMBILI DODOMA.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment