WADAU HUYU NI AMANDA OLE SULUL MISS UNIVERSE TOKA BONGO ANAYEWANIA KUCHUKUA TAJI LA DUNIA HUKO VIETENAM JULY 13, ANAOMBA KURA ZENU WABONGO WOTE NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA AWEZE KUTWAA TAJI HILI
PIGA KURA YAKO KUPITIA
http://www.nbc.com/Miss_Universe_2008/
Hili lawezekana sana tu kwani siku zilizopita wabongo tuliongoza dunian kwa kutoa salam za pongezi kwa Mzee Madiba aka Nelson Mandela ktk 90th birthday yake.
No comments:
Post a Comment