"Jamani Rais Kikwete okoa maisha ya mwanangu"
Mjane Martha Ndunye akitoa machozi kumwomba Rias Kikwete aingilie kati sakata la kuamishwa kwa wagonjwa wa THI na NSSF kwa kudaiwa pango linalofika bilioni 2,
mwanangu Kelvin (20) aligunduliwa na matatizo ya moyo akiwa na miezi mitatu tu na nimeangaika naye hospitali nyingi sana bila mafanikio mpaka nilipofika hapa kwa Dr Masau ndipo alipopata nafuu, sasa leo hii mwataka kumfukuza huyu daktari hapa je mwataka twende wapi? au mwataka kuniulia mwanangu pekee?
KESHO NDO SIKU YA MWISHO KWA DR MASAU NA WAGONJWA WAKE KUFULUMUSHWA KTK MAJENGO HAYO.
kwa wale wenye kumbukumbu hapo ndipo ilipokuwa TAZARA CLUB Ambapo watu walikuwa wanajisha kila wikendi,
No comments:
Post a Comment