Pages

July 28, 2008

RIP Bhoke Munanka

Mazishi ya Mzee Bhoke Munanka yanatalajiwa kufanyika kesho ktk makaburi ya Kinondoni Jijini Dar, Marehemu Munanka alikuwa ni moja ya mawaziri wa awamu ya kwanza ambaye amefanya kazi na Hayati Baba wa Taifa kwa ukaribu sana. Lakini Mzee huyu atakumbukwa zaidi (japo uwa haisemwi sana ua haijawai kusemwa) kwa uamuzi wake wa kiadilifu wa kuachia madaraka mara mbili (1952 na 1972) ili aweze kufanya shughuri zake za kibiashara hasa pale ilipoenekana kuwa kuna mgongano wa maslai na shughuri ya umma. Kulingana na Mzee Kaduma amabaye amewai kufanya kazi nae anasema huu ni uamuzi wa busara ambao Mzee Munanka aliufanya na ambao kama viongozi wa sasa wanapaswa kuufuta.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment