Pages

July 5, 2008

MWL MWAKASEGE KUTOA SOMO UK

MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA: READING UK 08-10 /08/ 2008. Jumuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.Mwlm Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu. Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.MATARAJIOWenye shida za kiroho, nafsi, mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu.Mafundisho ya namna ya kujikomboa kiuchumi kwa mujibu wa neno la Mungu yatafundishwaNyimbo za Injili kutoka Mwanamziki wa Injili Fanuel Sedekia kutoka ArushaTimu ya Injili na uimbaji kutoka Norway inatarajiwa kuwepo. Huu utakuwa wakati wa baraka sana jitahidi usikose nafasi hii ya pekee na Mungu atakubariki.ANWANI YA UKUMBIRivermead Complex Leisure Centre,Richfield Avenue, readingBerkshire, RG1 8EQMikutano itakuwa inaanza asubuhi saa nne paka saa moja jioni kwa siku zote tatu. MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na /Reading Lillian 07846700927, Birmingham-07776358464 Jackson Kapama, London 07817479845 Elias Mwema, Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno, -Brighton,07950324330 Joyce Jacob. Southampton 07717435287 Sekela Komba07944632826./ Rev, Emmanuel Chatawe-Mwenyekiti07983615387 / Timothy Kyara- Katibu mkuu. KARIBUNI WOTE.

No comments:

Post a Comment