SHUGHURI ZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA TARIME MAREHEMU CHACHA ZAKAYO WANGWE ZINAENDELEA HUKO BUNGENI MUDA HUU.
\
RAIS JK ANATARAJIWA KUONGOZA VOINGOZI WA SERIKALI NA WABUNGE WOTE KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA mpiganaji WANGWE KABLA MWILI WAKE HAUJASAFILISHWA KWA MAZISHI TAREHE 31 JULAI HUKO JIMBONI KWAKE.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
No comments:
Post a Comment