Pages

June 5, 2008

SULLIVAN STATE BANQUET

Pamoja na mlo wa kitaifa au dhifa pia kulikuwa na pia na kukabidhi uandaaji wa mkutano wa tisa nchini Rwanda ambapo JK alikabidhi rasmi mwenge wa uandaaji huo kwa PK huko wana njenje wakitumbuiza pia Clouds FM ya bongo hawakuwa nyuma ka anavyoonekena Kijana Philip akiojiana na Jesse Jackson.

No comments:

Post a Comment