Mechi ya Stars na Cameroon imeisha kwa JK Eleven kusakata kabumbumbu safi na kulazimisha droo ya bila kufungana na Simba wa teranga mbele ya maelfu ya washabiki wakiongozwa na JK mwenyewe,
Majina makubwa kama kina Song, Eto'o NK hayakuwatisha vijana wa JK 11.
No comments:
Post a Comment