Benk ya CRDB imezindua matawi ya benk yanayotembea yaan
Mobile Branch au Branc on Wheels".matawi haya yanatoa huduma zote za kibenk kama matawi mengine yoyote yale.
Wakipongezana ni Mwenyekiti Martin Mmari, MD Dr Charles Kimei, Mkuu wa Benki mbadala Joseph Witts na Mkurugenzi Utafiti na Masoko Bibie Tully Mwambapa.
No comments:
Post a Comment